Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo AJALI. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo AJALI. Onyesha machapisho yote
Ijumaa, 12 Septemba 2014
Alhamisi, 11 Septemba 2014
10 PICHAZ: AJALI YA BASI LA RUKSA YAUA WAWILI NA KUJERUHI 65 KIGOMA!

Basi
la Ruksa aina ya Scania lenye namba za usajili T 273 ACX llililokuwa
ikitokea mkoani Kigoma kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyang'a likiwa
limepata ajali katika kijiji cha Kanyonza wilayani Kakonko,mkoani
Kigoma ambapo watu Wawili walipoteza maisha papo hapo na wengine 65
kujeruhiwa katika Ajali hiyo ya Septemba 08,2014,majira ya saa Sita
mchana.
Pichani
juu na chini ni Jeshi la polisi wilaya ya Kakonko lilifika eneo hilo na
kuwachukuwa waliojeruhiwa na kuwapeleka katika hospitali ya
wilaya kwa ajili ya matibabu.
Pichani ni Baadhi ya Majeruhi wa ajali hiyo wakiwa wodini katika hospitali ya wilaya ya Kakonko kwa ajili ya matibabu.
Taswira ya Basi hilo la Ruksa likiwa eneo la Ajali ambapo mashuhuda wanasema chanzo cha ajali kilisababishwa na mwendo kasi.
Jumatano, 10 Septemba 2014
AJALI: Basi la Super Feo Lagonga mti na Kupinduka huko Songea….Wawili wafariki dunia, 30 wajeruhiwa vibaya
Watu wawili wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa baada ya ajali mbaya iliyotokea leo katika eneo la Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma ikilihusisha basi la Super Feo linalofanya safari zake kati ya Songea – Makambako lililoacha njia na kugonga mti.
Jumanne, 9 Septemba 2014
SIO BURE LAZIMA KUNA MKONO WA MTU... AJALI NYINGINE YAUA JANA HUKO MKOANI SINGIDA
Pichani juu na chini malori mengine ya mizigo yakipita karibu na eneo la tukio.
Mmoja wa mashuhuda wa ajai hiyo ameiambia tovuti hii kuwa chanzo cha ajali hiyo ni kufeli breki kwa lori hilo lililokuwa likishuka Milima ya Sekenke na mpaka anaondoka eneo la ajali hiyo bado dereva (marehemu) na mmoja wa watu waliokuwemo aliyekuwa hai walikuwa bado wamenasa kwenye lori hilo.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)










