.

Jumatatu, 1 Septemba 2014

BOB JONIOR AFUNJA REKODI MAISHA CLUB DODOMA... MADEMU WAFURIKA,WASHINDA KWA MAUNO


Show ya Rais wa Masharabaro iliyofanyika wekeend hii Maisha club ya Dodoma Imevunja rekodi baada ya wanadada kujitokeza kwa wingi na kuimba nyimbo zake na kucheza naye kwa style ya kukata mauno kama kawaida yake, Tazama picha za kile kilichojiri hapo chini























Mamuu

Shemeji Akee huyo

Chezea Shemeji ake mimi huyo

bob jonior


























NAJUWA HAPO ULIPO UMEISHI SANA KWENYE NYUMBA YA KUPANGA VIWANJA NA NYUMBA VYENYE BEI NAFUU HIVI HAPA PICHA NA NA BEI VYOTE HAPA ...

THIS KIWANJA  IS FOR SELL , LOCATED IN BUNJU B  DSM, 700 SQUARE METER.   ONE KILOMETER FROM BAGAMOYO ROAD,  PRICE 15.000.000/=TZshillings  FOR MORE INFORMATION CALL +255715044592 / +255765044592




THIS PLOT  IS FOR SELL , LOCATED IN BUNJU B  DSM, 2.200 SQUARE METER.   600 METER FROM BAGAMOYO ROAD,  PRICE 50.000.000/=TZshillings  FOR MORE INFORMATION CALL +255715044592 / +255765044592



THIS KIWANJA  IS FOR SELL , LOCATED IN BUNJU B  DSM, 2.800 SQUARE METER. 1.5 KILOMETER FROM BAGAMOYO ROAD,  PRICE 80.000.000/=TZshillings  FOR MORE INFORMATION CALL +255715044592 / +255765044592

+18 HUDDAH APOST PICHA MPYA AKIWA HOTELI KUBWA JIJI DAR! HUKU WIZARA ZAKE ZA MAMBO YA NDANI(MAKALIO) ZIKIWA WAZII,


http://photos-b.ak.instagram.com/hphotos-ak-xfa1/10616795_313480075521153_1071485185_n.jpg

http://photos-h.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/10643932_1424767884429487_2052422178_n.jpg

 



http://photos-e.ak.instagram.com/hphotos-ak-xfa1/10598747_701776919896620_1795672721_n.jpg


VIDEO: DIVA WA CLOUDS AJIBU BAADA YA SHUTUMA ZA KUWEKA VIGODORO KWENYE MAKALIO!!!!



Baada ya mtu anejiita TotoLaKimanga huko INSTAGRAM..Kumuandama mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi aka DIVA kuwa hana shepu na huwa anavaa nguo za ndani zenye vigodoro ili kukuza makalio yake..sasa leo DIVA ameamua kumjibu kwa kuthibitisha ...soma alichokisema!!!


AIBUUU!!!! UTAMU NJE NJE!!!! TABIA YA WAKINA DADA WA BONGO MOVIE KUTOKUVAA >CHUPI< YAMFANYA HUYU DADA KUAIBIKA AKIWA KAZINI!!!! JIONEE MWENYEWE



kwani kama huyu ndo kabisaa naniyake yenyewe ndo kama hivyo lakin anaiweka adharani hivi
.
BOFYA LINK HIZI KUANGALIA PICHA HIZO.
TAZAMA PICHA HIZI:
Hii ni kujidhalilisha maana vitendo hivi siku hizi vimekisiri ya dada zetu sijui wanakoelekea

UCHI:!!!!!!!!!!!JAMAA AVUJISHA PICHA 10 ZA UCHI ZA DEMU WAKE BAADA YA KUACHANA, ZICHEKI HAPA...NI AIBU TUPU




Diamond aokolewa na Polisi Ujerumani kutokakwa washabiki wenye hasira


  • Kashindwa kuwika Stuttgart, kisa na mkasa?
  • Kafika ukumbini saa 10 alfajiri, washabiki wanasubiri show tangu saa 4 usiku
  • Promota Mnaijeria aingia mitini.
  • Dj apata kisago, eti vyombo vibovu. Aibu!

Stuttgart, Ujerumani - Usiku wa Jumamosi ya tarehe 30 Agosti 2014, majira ya saa 10 alfajiri, mwanamuziki nyota wa Bongo Flavor,  Nasib Abdul aka Diamond Platnumz alijukuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart, Ujerumani baada ya washabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show.
Washabiki hao waliokuwa wamelipa ticket euro 25 kwa kiingilio walihadiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku, lakini walijukuta wakisubiri hadi majira ya saa10 alfajiri ndipo mwanamuziki Diamond alipoletwa jukwaani na promota wake raia wa Nigeria anajiita kama Britts Event.

Hapo ndipo washabiki walipoona kuwa hawakutendewa haki walianza kurusha chupa na kutaka kumvamia mwanamuziki Diamond na promota wake.

Kilichowakera zaidi washabiki ni pamoja na vyombo vibovu vilivyofungwa katika ukumbi huo kitu ambacho kiliwafanya washabiki kuvunja hadi vyombo vya muziki.

Ma-Djs walishambuliwa na wapo hosptalini kwa sasa. Mmoja wa Djs hao alipoteza laptop yake, mwanadada Dj Flor alipatwa shock (mstuko wa moyo) na kukimbizwa hosptali.
Washabiki hao walimpa kipigo Dj Drazee ambaye naye yupo hoi hospitalini. 
Polisi nchini Ujerumani wanamesema tukio hili la aibu alijawahi kutokea. Kwa msanii kuchelewa kufika jukwaani kwa Ujerumani ni kitu cha hatari kwani washabiki wa Ujerumani wanaheshimu sana muda wao.

Mpaka sasa polisi wanamsaka mwandaaji wa onesho hilo na wamesema kuwa wanachunguza thamani ya hasara hiliyosababishwa na ghasia hizo na pia itamfungulia mashataka promoter huyo raia wa Nigeria, ambaye pia anachunguzwa kwa kusemekana anajihusisha na mtandao fulani wa biashara.

Magazeti ya Stuttgart; yameandika "Washabiki wa hasira nawe DIAMOND" link:

http://www.stuttgarter-nachrichten.de/inhalt.blaulicht-aus-der-region-stuttgart-31-august-diamond-platnumz-zieht-aerger-der-fans-auf-sich.ca1f4b9d-599b-4c95-84c8-fe25d10b6ed9.html
---
Taarifa hii imewasilishwa kwa wavuti.com na mdau via email.